Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Swadaktaa mkwe farkhina
Life is goodLeo vyakula vya Super Bowl.
Na vinywaji vyake.View attachment 1344699
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu mkuu, leo tunaendeleza na leftovers.Life is good
Yashanikuta jamani,ilikuwa cake ya shughuli na muda ulikuwa umekwisha cake inatakiwaInatoka vizuri tu huwo msala nyumbani kwetu kila eid umeme unakatika nachoma kwa mkaa usiombe ukatike alafu keki ipo kwenye oven halfway imewiva 🤣🤣🤣 sahau kuhusu keki.
Maandalizi ya dinner yameanza!View attachment 1346467View attachment 1346468View attachment 1346470