Hmm Nani huyo?Ama leo anakulisha vizuri
Sio mchezo
Mpishi..hata kama ni wewe mwenyewe.
Dah...! farkhina.... Mambo ya Angel Nylon haya
Bidada tualikane bana
Umedanlodi eeh?
Ushachagua yupi kwa supu?
Yup...huyo wa kwanza hapo.
Amenona? Supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sana upate kwa maandazi wee utamu acha tu,hivi ushawahi kula boflo?