Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Yani hata glasi haijajaa utumbo wako mdogo sana
Hichi kwa kuangalia tu ni kiporo
Ndio mganga ni kweliHichi kwa kuangalia tu ni kiporo
View attachment 946278
Welcome . Breakfast.
hiyo ni juice ?
Aisee..hii nimeivulia kofia..
Aisee..hii nimeivulia kofia..
Uliufyeka mkuu??
Ngabu acha sifa Loh...
Naona pia kulikuwa na kuku wa kienyeji pembeni..Safi mkuuWote mzee . Nipo sawa sana kwa hii sector.