Aisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?Breakfast ya leo asubuhiView attachment 913931
wasukuma bwanaWale wa kwetu kule mwisho wa reliugali muhogo na mugebuka choma na pilipili pembeni.. Karibuni wote View attachment 914215
Mkuu hata mimi nilitaka niulize hili swaliAisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
kama leo mtu hafanyi kazi mbona anashiba !! anashushia na maji, na baada ya muda kidogo anajisogezea juiceAisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
Ahahahahwasukuma bwana
Hivi kwanini tunadhani kula chakula kingi ndio sifa ya kuwa mwanaume? Nijuavyo mimi ulaji wa chakula unachangiwa na hali ya hewa aina ya kazi muda na aina ya chakulaMkuu hata mimi nilitaka niulize hili swalikweli kwa hali hiyo anastahili kuitwa mwanaume wa dar
Chips na mchicha? Aisee
Dah kijijini hii.. Hapo ukienda kwenye mechi ya simba na ruvu shooting mabao yatazidi ya janaKaribuni waungwana..View attachment 914946
Bomu ya viagra hili..Karibuni waungwana..View attachment 914946
Jaman Mungu si vizuri hivi
Jaman Mungu si vizuri hivi
SawaaAisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
MATE PIPA MM. Niko vzr sana