mgebuka kapoteza maisha hapo sasa
Wewe si ndio ulisema watu waweke wawatamanishe kulakula watokwe miudenda? Naona unaanza kukinywea kikombe chako mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naomba unielekeze, hii pembeni ya yai ni nini? Nataka na mimi nikafanye