Hilo muhimu mwanawane...maisha ni kula na kugegeda tuu....mengine mbwembweSometimes uupongeze mwili kidogo๐๐๐
Kilingeni napo mnagonga vyombo๐คฃ๐คฃ๐คฃJana usiku kilingeni MsataView attachment 3280734
Kitunguu, tomato, hoho,kitunguu swaumu, tangawizi, nazi piga pamoja zikarange zilegee,weka, samaki aliyeoshwa vizuri tu, maji kiasi pika moto mkali dk 10 tu, kaiva huyo vwala, wali, ugali, ndizi viazi ukitaka ni unaweka mwanzo tu na zile mbogaWazee nina samaki mbichi hapa nielekezeni namna ya kutengeneza mchuzi shata safii
Hii food pyramid sijaelewa mnawezaje kula hivi?
WAzee mnakula vizuri wengine tumezoea tunaviona sikukuu tu๐
Da! Hiki chakula kikukute ndo una njaa Sasa yaani
mzabzab na misosi tena? Nilidhani unauliza mbususu nikawahi kufungua picha!Hii inapatikana wapi