Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Jesus!! Zote hzo unakula peke yakoMapumziko ya mwisho Wa juma View attachment 860867
Lokeshen basi nikaribieKaribu ugali sembe samaki na mlendaView attachment 861244
Karibu chuga sakina maziwaLokeshen basi nikaribie
Woiii! Ntakaribia mwayaKaribu chuga sakina maziwa
Ukuje kbsa ila usisahu shilingi mkuuWoiii! Ntakaribia mwaya
HayaUkuje kbsa ila usisahu shilingi mkuu
Kesho ukuje twende kw morombo tukale mbuzi tukatoe meno ukoHaya
Mbona kidogo tu hizo, wewe unakulaga ngap?Jesus!! Zote hzo unakula peke yako
MalimaoJamani nishaurini nile nini mwenzenu tangu jana mchana sijala, njaa inaniuma ila sina hamu ya kula.