Naelewa sana vyote unavyokula..top notch.
Naelewa sana vyote unavyokula..top notch.
Hahaha..Post basi ulichokula leoDarmiiii....😊😊😊😊
Truth or Dare....😅😅😅😅😜.
Hahaha..Post basi ulichokula leo
Nipo hapa waiting..Hakuna shaka kama kawa kama dawa...😊😊
Niko sehemu sehemu, ntaposti baqda ya masaa 10 au 12 hivi....😉.
Nipo hapa waiting..
Iko wapii hii bibi?Ukisikia inavyotamkwa sasa....
Ila ni tamuuu....![]()




View attachment 3022641
Maghimbi kikaangoni
View attachment 3022642
Maghimbi sahanini na madikodiko mengine...
View attachment 3022643
Maghimbi oniflikii....na bamia pembeni.
Hizi za kitambo nilishaziweka humu.
Kun siku nilipika maghimbi na maharage ila hayakutokea vizuri.... mwiko ulinitupa mkono....
View attachment 3022645
Hayo hapo...




View attachment 3023494
Hoti dogi na oven baked potato vimenyunyiziwa paprika powder cheese na ndimu...
Pilipili kwa pembeni zilinishinda kumaliza...
View attachment 3023496
Hapo nimeongeza mamboga mboga carrots zucchini cauliflower onions and brocoli garnished by garlic.
Leo mkono ulikuwa sambamba na mwiko, msosi ulikuwa mtamu kunoga.....
View attachment 3023498
Tikiti maji lilifunga safari ya mlo, na lenyewe lilikuwa tamuuu.
Ashukuriwe Maulana kwa kujaalia Neema kubwakubwa na Ndogondogo.
Kama ambavyo jembe halimtupi mkulima, ukiwa makini jiko halimtupi mpishi.
I love eating and I love cooking though not all the times.
.



Iko wapii hii bibi?
Natamani kufikaa.
huyu ataweza kumaliza chote hicho