Dah una kula vizuri Sana, nope kazi basi jombi.
๐๐คฃ๐Dah una kula vizuri Sana, nope kazi basi jombi.
Mimi Jobless pro max ๐ค
Kaka nope issue basi๐ค๐๐คฃ๐
NImelipiza hii, bahati mbaya sina picha
Usi muite Dr Lizzy, siku hizi hapendi wageni๐๐.Chinga Intelligent businessman na dada yangu Depal naombeni jam na buluu bendi Cc: Dr Lizzy View attachment 2929964View attachment 2929963
Mi Yangu sembe na maharage ๐
Dona hautumii ๐คฃ๐๐๐ chips auliMi Yangu sembe na maharage ๐
Huyo ni dada yangu Mkuu namjua Toka miaka ya 2010 nimekuwa nikimsoma humu jamiiforumsUsi muite Dr Lizzy, siku hizi hapendi wageni๐๐.
Ukienda kwake ana kuchemshia maji ya moto๐
Mu italy ume ansa mambo yako๐ค, Depal huyo dogo ana anza makinja Kinja๐๐Huyo ni dada yangu Mkuu namjua Toka miaka ya 2010 nimekuwa nikimsoma humu jamiiforums