Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,094
Si tulikua mtu 3 tukuyu hapo, ikawa choma lete kaanga lete,choma lete tunashushia na Bapa.
Tulimla mdudu sijui kilo ngapi mpk tukasahau tunaenda wapi kwa kuvimbiwa![]()


aisee Mimi roast inanishindaga hata nusu simalizi ya kukaanga ndo yenyewe mazeee ngoja kesho ao jmos naweza kwenda kyela kutembea nitaagiza moja na nusu peke angu.