Shafika kipenzi kudoea😋
Ulishafikiria endapo kila mtu angekuwa na shamba na kapanda kila zao, hivyo hahitaji kununua?Vitu ambavyo daslam tunapimiwa home sweet home karibuni tuvune alizeti,karanga,mahindi,mtama.View attachment 2653701View attachment 2653702
Kweli mkuu.Ulishafikiria endapo kila mtu angekuwa na shamba na kapanda kila zao, hivyo hahitaji kununua?
Duniani twategemeana, hakuna wakulima bila walaji na hakuna walaji bila wakulima, twategemeana sana
Karibuuu
Asante nakuja chapKaribuuu

Hii nana mision nayo kesho mamy leo imeshindikana. vyombo