Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Umesemaje eti??
Umesemaje eti??
Nini hicho
Marafiki wa yanga mnanikwaza 🤣🤣Umesemaje eti??
Acha unaaNini hicho
Sawa.Marafiki wa yanga mnanikwaza 🤣🤣
Mtura?Acha unaa
Hujawahi kuona hicho chakula!!
Shusha picha tushibehuwa unakera wewe
Nimesahau kupiga halaf sipo home leoShusha picha tushibe
Nadhani mi mgonjwa maana hata nileje lazima nisikie njaa mapemaNimesahau kupiga halaf sipo home leo
Nimekula hapa nilipo nimesahau piga picha si uliona ile samaki nilipiga ishaisha imebaki mifupa nimezeeka banaNadhani mi mgonjwa maana hata nileje lazima nisikie njaa mapema
Doctor kashauri tutumie sufulia ndogo.Mim pia inabidi kupata sufuria ndogoo
Ukipikia sufuria kubwa maji madogo hautokoti unga vizurii
Ni kweli kabisaDoctor kashauri tutumie sufulia ndogo.
Unapenda vita


hii kauli imenikumbusha kiclip cha insta kuna jamaa anasema "I don't want a peace, I want problem always''Ni ugali huo mkuu, wa mahindi lisheHayo matonge manne pembeni ni ya nini?![]()
Kwelihii kauli imenikumbusha kiclip cha insta kuna jamaa anasema "I don't want a peace, I want problem always''
Kweli jamaa anachekeshahii kauli imenikumbusha kiclip cha insta kuna jamaa anasema "I don't want a peace, I want problem always''