Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Ishafyekwa kitambo
Mkuu hilo ni bozemba au
Ndio nini....?Mkuu hilo ni bozemba au
Salad makini hii😋😋
Bado sijamaliza nyingine ntamalizia baadae
Njoo uchukue nilikula pieces 3 tu nikafloat wahi mapema kabla sijapata njaa tena
Njoo uchukue nilikula pieces 3 tu nikafloat wahi mapema kabla sijapata njaa tena
Alah kumbe!!! Sie wengine kiswahili hatujui.😁Wali wenye viukoko kwa mbali ndo tunaita bozemba