Na tui na stamina ya maana. Kazi njemaKazi kazini mkuu
Mboga ya kwenye frying panimenitoa udenda
Hizo nyama kama kitimotoKienyeji enyeji tu, karibuni.View attachment 754676View attachment 754678
Mkuu sio vizuri ujue kutamanishana
Hiyo pembeni ni chachandu? Nimetamani
Mkuu sio vizuri ujue kutamanishana
Chachandu ina pilipili eeh? Hii haina ni sauce tu ya nyanya, thomu, binzari, ndimu na chumvi.Hiyo pembeni ni chachandu? Nimetamani