MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,528
- 21,812
Tumerithi kwa wazazi wetu, TV ama fridge ikinunuliwa haibanduliwi labelAsante, sawa nitafanya hivyo. Hata sijui kwanini huwa naacha hadi zitoke zenyewe 😅
Tumerithi kwa wazazi wetu, TV ama fridge ikinunuliwa haibanduliwi labelAsante, sawa nitafanya hivyo. Hata sijui kwanini huwa naacha hadi zitoke zenyewe 😅
Kula tu boss usijibanieAsee nmekuwa kama mwanamke mwenye mimba kutamanitamani vitu yaani usiku huu natamani nyama iwe kuku,mbuzi,kiti au Ng'ombe

Moja ya wanawake zako imoAsee nmekuwa kama mwanamke mwenye mimba kutamanitamani vitu yaani usiku huu natamani nyama iwe kuku,mbuzi,kiti au Ng'ombe
Usiku ule uku nilipo ukitoka kutembea utaonekana Sungusungu
Hao sungusungu unawakatia kipapatio wale hawatokusumbuaUsiku ule uku nilipo ukitoka kutembea utaonekana Sungusungu
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app

Hao sungusungu unawakatia kipapatio wale hawatokusumbua
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app

Hyo pemben ni mboga gan
UKisema ule tu unachokitamani..mshahara hautakutana na mshahara mwingine😅
UKisema ule tu unachokitamani..mshahara hautakutana na mshahara mwingine![]()
na ndo ukweli mchungu kwa wapokea mshahara wenye koma(,) mojaMara moja moja sio mbaya lakiniUKisema ule tu unachokitamani..mshahara hautakutana na mshahara mwingine![]()
Noma sanana ndo ukweli mchungu kwa wapokea mshahara wenye koma(,) moja
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app

Hahahah eti koma moja 😅😅na ndo ukweli mchungu kwa wapokea mshahara wenye koma(,) moja
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Choroko...Hyo pemben ni mboga gan