binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,119
- 34,444
Kabisa kabisa.W
Wine inapelekana na weekend
Kabisa kabisa.W
Wine inapelekana na weekend
Angesema tu anataka kula vitu vyepesi
Ukiwa hauna appetite hata maji ya kunywa unayaona machungu
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
sahihi mdomo unakataa chochoteKweli raha ya pilau lijae nyama kama zote. Sio nyama nusu ipike kilo 3 za mchele tena ukipikia na supu yake pilau linakuwa tamu balaaWewe sasa ndo mpishi mzuri wa pilau
Nyama kama zote![]()
Hivi unajua tofauti ya kula na kugusa gusa hapo niligusa tu
mfungo huu me mwenyewe jana nimekula maharage yanasukari kinoma



Alooo hivo vidole sasaKama hautoki unafanyaje? Kunywa ka wine ndani.View attachment 2565491
Wadada wote wanaotuma Pic zao humu zinaozoonyesha na mkono asee sijaona mwenye vidole vibaya HAKUNA HAKUNA NA HATAKUWEPOAlooo hivo vidole sasa
Them nails though..Kama hautoki unafanyaje? Kunywa ka wine ndani.View attachment 2565491
Hii sijaielewa ni nyama ya namna gani mkui
TauloHii sijaielewa ni nyama ya namna gani mkui
Ahaa! Inakuwaga ngumu sana hii, ila ya kuchoma ndio naikubaliTaulo
Hivi pale kazimoto wako vizuri kweli nlipitia siku moja nkaona wana story nyingi
Cheif ulagi kwako?kila siku unapakua picha mtandaoni
Wadada wote wanaotuma Pic zao humu zinaozoonyesha na mkono asee sijaona mwenye vidole vibaya HAKUNA HAKUNA NA HATAKUWEPO

ni warembothanks champ! 😉Them nails though..
Zinang'ara.
nice, toa label kwa glassKama hautoki unafanyaje? Kunywa ka wine ndani. ☺️View attachment 2565491
Asante, sawa nitafanya hivyo. Hata sijui kwanini huwa naacha hadi zitoke zenyewe 😅nice, toa label kwa glass