HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Breakfast
Breakfast
Mbona kidogo Auntie?
Hizi chips au viazi vimedumbukizwa kwenye mafuta🤣🤣🤣🤣
Dah mie nachokaga nikiona portion zako...unawezaje jamani
Kaugali ka fasta fasta hapo nimetoka kuswampa Kariakoo Jumamosi nampigia dada nipikie ugali na nyanya chungu na kisamaki cha jana...ukimaliza unashusha na maji bardiiiiiii unafunga kanga unalala



Full burudani yaani🤣Kaugali ka fasta fasta hapo nimetoka kuswampa Kariakoo Jumamosi nampigia dada nipikie ugali na nyanya chungu na kisamaki cha jana...ukimaliza unashusha na maji bardiiiiiii unafunga kanga unalala![]()
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hizi chips au viazi vimedumbukizwa kwenye mafuta🤣🤣🤣🤣
Hapo nilichelewa kula cha mchana auntMbona kidogo Auntie?

Njoo nikuzoeshe uone ilivyo rahisi....😁Dah mie nachokaga nikiona portion zako...unawezaje jamani
Inabidi nije kwa kweli....naja huko pm naomba uache mlango waziNjoo nikuzoeshe uone ilivyo rahisi....😁