Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,208
Hua sometimes tunafanya maksudi
Hua sometimes tunafanya maksudi
Mi mbona nkipika hazitoki hivi. Zinakua laini lakini naona hizi ni zaidi.Zinavutia
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile ap
Nimetamani, ongeza Ugali tafadhali.
![]()
Unakulaje tikiti kizembe hivyo, tikiti unatakiwa kulika kwa hasira na sura ya kichina.
Haya ndio maneno sasa.Acha kabisa![]()
Hapa ndio unakwenda kula au ni viungo vya kupikia mboga?!
Hawa ndege ninawachukia kupita maelezo. Natamani kuwe na kampeni maalumu ya kuwatokomeza watoweke maana wameshakuwa wengi sana hapa mjini hadi wanakuwa kero.
Hapa ndio unakwenda kula au ni viungo vya kupikia mboga?!