Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,727
Buku 6.Njegere, Samaki.
Jamani.
Pilau la mbeya la jana hilo. Na paste ya kutolea.
Mie I don't like pilau na kachumbari View attachment 1981061View attachment 1981062
Amen auntieMimi kuna point inafika siwezi kula kumaliza hata iweje.
Nikijilazimisha ntarudisha chenji.
Sijui hata nitenenepa vipiMungu aingilie kati
Nimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.Amen auntie
Pilau la mbeya la jana hilo. Na paste ya kutolea.
Mie I don't like pilau na kachumbari View attachment 1981061View attachment 1981062
Haya maharage kwa kuyaona tu ni matamu
Mmmmh em ngj nije tuongee vzrNimeanza kumeza vitamin B complex..yaani kila baada ya nusu saa njaa inaniuma.
Nadhani hizi dawa ni nzuri hasa kwa wavivu wa kula kama Mimi.
Sawa AuntieMmmmh em ngj nije tuongee vzr
Cha asiliNimetamani, ongeza Ugali tafadhali.