Uzi wa vyakula tu

Baada ya kuambiwa nyumbani wamepika ndizi mchana, nikavumilia njaa ili nije kula home ndizi, nazipenda sana.

View attachment 1973072
Hizi kwetu tunaziita ndyali,sasa bibi alikua anazipika mixer maharage mabichi na maziwa nyama mbwembwe tu na siku akiamua ilikua pork belly lile na mafuta yale analiweka juu kabisa pale basi linateremsha utamu wote chini kwenye ndizi hageuzi anatikisa tu.
E bana utamu unatoka pale sijawai kuupata.
Mi Nilikua naomba chai tu ili hata nishibe vipi nagonga fundo kazi iendelee.
Tatizo bibi hali kabisa,akimaliza kupika akaweka chungu pembeni huyo anatimka zake mashambani huko na mundu au jembe
 
Mkuu wewe ni mtu wa nyanda za juu kusini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni Mishikaki ya Nyoka.

img-20130718-wa0011.jpg
Mmmmmmhhh
 
Hizi kwetu tunaziita ndyali,sasa bibi alikua anazipika mixer maharage mabichi na maziwa nyama mbwembwe tu na siku akiamua ilikua pork belly lile na mafuta yale analiweka juu kabisa pale basi linateremsha utamu wote chini kwenye ndizi hageuzi anatikisa tu.
E bana utamu unatoka pale sijawai kuupata.
Mi Nilikua naomba chai tu ili hata nishibe vipi nagonga fundo kazi iendelee.
Tatizo bibi hali kabisa,akimaliza kupika akaweka chungu pembeni huyo anatimka zake mashambani huko na mundu au jembe
Huyu kama bibi yangu vile, kuna mapishi alikua anayamudu vibaya mno, kuna hadi ndyali za kipome dah, May your soul keep resting easy Bibi😘😪
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom