Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Hii ndiyo ile diet ya mauaji?![]()
ha ha ha


umenichekesha
hamna jamaniHii ndiyo ile diet ya mauaji?![]()


umenichekesha
hamna jamaniSimaria nakuita tena Simaria,nibakshie parachichi na vindizi kidogo tu najaView attachment 1897055
Late Lunch
Kuchemsha au ku-steam Mshana?Visambusa vya kuchemsha.. Ndani ni nyama ya kusaga na mbogamboga
We unae mke arif?Wenye wake kuleni maziwa na karanga mtakuja kunishukuru baadae.mkiweza kutafunia na vitunguu swaumu mixer tangawizi ndo ojijoView attachment 1898165
Chakula gani hiki

Wakuu nauliza Hvi vikarai vinauzwaje ?View attachment 1898435
Kuanzia 15,000 kulingana na uboraWakuu nauliza Hvi vikarai vinauzwaje ?View attachment 1898435