mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Naanza na hii picha maarufu zaidi.
Nyingine hizi.
Kumbe watu wa mtwara hufanana? Namuona pm katika sura hiyo
Apumzike Kwa AmaniMwendo umeumaliza
Una Hoja Ila Acha Tulie Chozi LitokeKumbe watu wa mtwara hufanana? Namuona pm katika sura hiyo
Wamekula kichwaHahahahaaa
Hii ni tz kweli?
Tz ya nyerere, mwinyi na ben ilikuwa na madhari hiiHii ni tz kweli?
Harafu anafanana na Kassim
Kumbe watu wa mtwara hufanana? Namuona pm katika sura hiyo
Sina hakikaHii ni tz kweli?
Jasusi mbobezi