Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

jimmygatete

JF-Expert Member
Aug 30, 2022
2,698
5,909
Mi naanza kwa kuweka picha za Aziz 🔑 🗝 🔐 day

Uzi tayari
FB_IMG_1695815688918.jpg

FB_IMG_1695815698115.jpg
 
Haji Manara kipindi akiwa na akili zake timamu aliwahi kutuambia kuwa “kule Yanga wenye akili ni wawili tu, baba yake na Jakaya Kikwete tu”.

Nimeamini ile kauli inaishi. Kuelekea Mchezo wao wa kimataifa weekend hii, Yanga wamekuja na slogan ya Aziz Key Day. Yaani wanaiga yale ayafanyayo Azizi akiwa uwanjani.
Sasa kuna vituko vinavyoendelea huko mitandaoni, ambavyo unaona kabisa watu wanaupungufu wa akili.

Hiyo Azizi Key Day iangaliwe na umri wa kufanya upuuuzi huo🤣🤣
IMG_8054.jpeg
IMG_8055.jpeg
 
Back
Top Bottom