Uzi wa michano kwa wanawake

Uzi wa michano kwa wanawake

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,120
Reaction score
4,850
Wana eeh leo tutiririke kwa hawa viumbe mambo ambayo wanatutendea hayatupendezi sie,shetani, wala God

Bila kujivunga wala nini tuwachane maana najua watasoma na wakisoma watabadilika tu kivyovyote

Binafsi mambo ambayo wanawake wananitendea afu siyaaminii wala nini ni haya

moja: kuombwa hela bila shida maalumu na bila mpangilio unaoeleweka

mbili:kutaka kubembelezwa kupita kiasi yaani unakuta demu anadeka, anaringaringa yaani haeleweki

tatu:kupeleka vipindi mbele kwa kusingizia kwenda mwezini hii nadhani inaeleweka

nne: kutuita vibamia yaani hilo jina silipendi kutoka moyoni naonaga ni aina mpya ya dharau


Uzi unaendelea na nyie tiririkeni kama na nyie wachuchu kuna mambo hamyaelewi upande wa kiumeni mtuchane ili tuwekane sana ila acheni dharau
 
Haya madawa ya kuongeza nguvu za kiume yanawaharibu hamjui tu
 
Nami leo niandike.
Madem ile tabia yenu ya kusema simu yangu imeharibika mmeiacha,kila dem anasema hivyo why?
2,halafu kwa nini hamuogopi kula hela za watu? Kuna katoto ka ankali wangu tuliita shuleni katoto ka fom tuu kamekula hela ya kapteni wa jeshi,kikosi sikitaji yaani hakina woga na kalikua tayari kutoa papuch,
wengine waendelee
 
Yote kwangu kawaida hakuna linalonikera maana najua hakuna anaenizidi akili tunaenda sambamba tu
 
Wanaume wa dar mengine tutakubaliana tufanye kwa ushirikiano kama kwenye kile kikao cha upatanisho na wanaume wa mkoani ila hili la kusuta wanawake Hapana hilo fanyeni nyie
 
Back
Top Bottom