Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,792
- 84,747
Anza na Kilwa Kivinje, Kisiwani, Masoko Hadi Msimbati nkHivi hii njia ya dar Lind Mtwara, kuna maeneo gan mazuri ya kutalii?
Anza na Kilwa Kivinje, Kisiwani, Masoko Hadi Msimbati nkHivi hii njia ya dar Lind Mtwara, kuna maeneo gan mazuri ya kutalii?
Huu uzi ndio ulionishawishi nikaenda Lushoto. Aisee 🙌Welcome to lushoto.....
They call it Norway of Africa
Kuna vivutio vingi sana kuanzia safu za milima ya usambara and a lot more
MULLERS mountain Lodge
Swiss Farm
Kigula hakwewa view
.
.
.
.
Soon narudi for more photos
Photos captured my me.
View attachment 2632703View attachment 2632704View attachment 2632705View attachment 2632708View attachment 2632707View attachment 2632706
I hope uli enjoy mzee. Nilikuwa huko Lushoto Desemba. PazuriHuu uzi ndio ulionishawishi nikaenda Lushoto. Aisee 🙌
Mkuu vipi wanaruhusiwa kuoga hapo. Au maji yanakasi kubwaHii hapa Video, ila Tanzania tuna umaskini wa kujitakia
View attachment 2571907
Hahahaa labda kwa kando kidogoMkuu vipi wanaruhusiwa kuoga hapo. Au maji yanakasi kubwa
Daa!!! Nimeona video nikatamani nirukie hapo chini ya natural waterfallHahahaa labda kwa kando kidogo
Kilwa panafaa kutaliiHivi hii njia ya dar Lind Mtwara, kuna maeneo gan mazuri ya kutalii?
Tuna mavi-ongozi hopeless mkuu!Hii hapa Video, ila Tanzania tuna umaskini wa kujitakia
View attachment 2571907
HahahahaTuna mavi-ongozi hopeless mkuu!
Mkoa/ Wilaya gani hii Mkuu?
Nadhani ni MATERUNIMATARUNI waterfall in Uru Moshi.
KARIBUNI KISHIMUNDU.. View attachment 1360345
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni document iliyoandaliwa kwaajili ya matumizi ya ofisi ambayo wageni ni both waswahili na foreigner.
Nisamehe mimi kwa uswahili wangu mkuu ila dollar moja ni approximately elfu 2280-2300 za kitanzania.
Asante na karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani sana kwenda lushoto😌Huu uzi ndio ulionishawishi nikaenda Lushoto. Aisee 🙌
Wow..Mad Max utoke huko mjini kwenye joto.
Mkaribie na Napuru waterfalls- Meru Camp
View attachment 2934874View attachment 2934875
Hapa ni wapi kaka?pamenivutia.natamani kupatembelea siku moja😊Hii hapa Video, ila Tanzania tuna umaskini wa kujitakia
View attachment 2571907