Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Nyie ni majambazi ya familiaHaki ya Nani
Kwamba sisi Ni materrorist jamani
Yaani jamani last born Ni last born tu
Sent using Jamii Forums mobile app

ILA SIJUI KWANINI MALAST BORN WENGI TUNACHUKIWA SANA NA WAKUBWA ZETU ,
YANI UKIFUATILIA FAMILIA NYINGI LAST BORN HAWAPENDWI, SIJUI NI WIVU?
Sent using Jamii Forums mobile app
Last born muda mwengine ni mateso tu huwezi pewa baadhi ya vitu kisa ww ni mtt huwa naichukia muda mwenginemaamuzi mengine unaamuliwa kisa ni wamwisho nakupinga ni ngumu kweli yaan.
Haki ya Nani?Nyie ni majambazi ya familia![]()





Ndiwoooo.
Mmh uyo uhakika wa kuadhibiwa upo






Nilishawahi kuchezeshwa kichapo Cha mbwa koko na bro kisa sijaosha vyombo![]()
Siku nyengine sijui nilifanyaje akanikurupua usiku ati anitwike mimboko ila limboko lenyewe lile halikuwa fimbo lilikuwa ni likuni nikaona ngoja nitumie nafasi yangu ya uziwanda imtese usiku huohuo nikakimbia kusikojulikana!! Kwani palilalika ni kunitafuta bi maza alimtukana kila tusi halafu wanaenda mpk mbali kunitafuta wkt mhuni nimejibanza jirani nawasikia tu![]()
Mziwanda Mimi nilikuwa mmwaga kojo hatari siku moja sista akanifungia kazi asubuhi tu nishachafua mashuka wacha anitimue nikiwa uchi mi nachekelea najiuliza huyu sister leo mbona kanigeukia halafu anambio utafikiri Hussein bolt!! Kanikamata kafura kunipiga hata hajanipiga wala nini moja kwa moja mpk bafuni ati nifue mashuka! Ndo kwanza nilikuwa natabasam maana kufua nilikuwa sijui wkt huo njemba nyengine zipo mlangoni zinashangaa tu akaja bi maza zote zikapisha akaingia akafuana kojo liliendelea kama kawa haswa ninywe ile mi juisi kola ulikuwa unanukia mkojo wa kishenzi ule! Halafu hata waniwekee makaratisi ati kojo lisifike kwenye godoro wapi kojo lile lilikuwa na ufahamu litapata upenyo tu
Uziwanda una tabu zake na raha zake
Kwani nani tena, wewe..!
ILA SIJUI KWANINI MALAST BORN WENGI TUNACHUKIWA SANA NA WAKUBWA ZETU ,
YANI UKIFUATILIA FAMILIA NYINGI LAST BORN HAWAPENDWI, SIJUI NI WIVU?
Sent using Jamii Forums mobile app