jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,377
- 43,259
Visasi ni vya muumba pekee.
Jidanganye mambo mengine malizana nayo wewe kama yapo ndani ya uwezo wako
Visasi ni vya muumba pekee.
dada kwani unamakasiriko, yatoa mapema yasije kukunyonga bureHuu uzi nitaurudia tar 31 december km Mungu akifanikisha nikiwa hai
Nawapromise hater’s wangu woteeeeeeee
Nitawafurahisha kwa mlichofanya sitowaacha salama lazima niwachane
STAY TUNED