Uzi wa kupeana michongo ya 'kuzamia' nchi za ng'ambo

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2017
695
1,712
Habari,

Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.

Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani..

Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.

Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.

Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..

Ahsante..

Pia soma:

USA
Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange
 
Habari,

Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.

Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi mambele mbele a.k.a duniani..

Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.

Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.

Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..

Ahsante..
Ngoja niwe namba moja kwa mara ya Kwanza.Mengine baadaye.
 
Vipi kwa sasa Ujerumani kunaingilika???
Mkuu sasa hivi wamebana ile mbaya tena zaid kutokana na ishu ya mpakani Belarus na Poland. Sasa hivi vyama vya siasa ulaya kwenye kampeni sera kubwa ni immigration jinsi ya kuidhibiti ndio njia pekee ya kupata kura na kushunda uchaguzi. Hii pia ilisababisha Brexit kushunda uingereza.

Denmark sasa hivi wako na majadiliano na Paul Kagame kuwasafirisha wote waliomba na wanaoomba Asylum hifadhi ya ukimbizi kuwapeleka Rwanda kesi zao zishughulikiwe. Ikipita Mr Slim atapata hela ndefu.

Sasa hivi kwenda kuomba visa ya ulaya ni kama unaenda battlefield.
 
Duh Ahsante kaka..

Hii ni habari mbaya sana kwa sisi wazee wa 'chobingo'
 
Mipaka yote ya Europe imehimarishwa ulinzi na ili kuonyesha wako serious wamejaza askari wengi sana na kila askari kaweka mafuta nyuma ya skio wakikudaka kitu watakacho kufanya lazma iwe Siri yako

Yani wanakufanya vilevile tu kama wagiriki walivyokua wakikudaka kwenye meli wanakufanya had Leo hii tabia imekoma
 
Nendeni Sandton, Johburg, Pretoria, Durban, Capetown, Kimberley n.k hii ndio Ulaya ya Afrika.

Bila kusahau Windhoek na Gaborone.

Pia kuna chimbo linatwa Francis Town lipo hapa hapa Africa hata kwa basi unafika.

Ulaya, Amerika, Canada, Australia msahau kabisaaaa.
 
Mipaka yote ya Europe imehimarishwa ulinzi na ili kuonyesha wako serious wamejaza askari wengi sana na kila askari kaweka mafuta nyuma ya skio wakikudaka kitu watakacho kufanya lazma iwe Siri yako

Yani wanakufanya vilevile tu kama wagiriki walivyokua wakikudaka kwenye meli wanakufanya had Leo hii tabia imekoma
Unaongea seriously mkuu,,au kuchangamsha uzi?
 
Kupata visa ya majuu ni ngumu sana kwa sasa
Watu wanakwenda Kama kawaida,,
Tatizo ni gharama Sana kupata viza kwa sasa,
Pia unapaswa upate watu sahihi wa kukuandalia documents za embassy.
Hilo ndy shida kubwa inayowasumbuwa wengine.
 
Mipaka yote ya Europe imehimarishwa ulinzi na ili kuonyesha wako serious wamejaza askari wengi sana na kila askari kaweka mafuta nyuma ya skio wakikudaka kitu watakacho kufanya lazma iwe Siri yako

Yani wanakufanya vilevile tu kama wagiriki walivyokua wakikudaka kwenye meli wanakufanya had Leo hii tabia imekoma
nimecheka balaa
 
Habari,

Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.

Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi mambele mbele a.k.a duniani..

Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.

Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.

Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..

Ahsante..
Ahsante mleta mada naamini kupitia uzi huuu ndoto zangu zinakwenda kutimia ngoja nitiririke na comments
 
HabaKri,

Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.

Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi mambele mbele a.k.a duniani..

Tuambie upo chimbo gani na taratibu za kuingia kiwanja hicho.

Pia tuambie kama "boxi" linapigika na matumaini ya kipato kwenye chimbo hilo.

Nina imani uzi huu utafaidisha wengi..

Ahsante..
Siwezi nikapata dili la kuosha wazee popote ulaya.
 
Back
Top Bottom