fadinyo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 239
- 262
[emoji120][emoji120]
Mkuu, pongezi zako.
Mkuu, pongezi zako.
Duuuh hongera sana.
Link hiyo chini ingia na baadaye uweze kutengeneza pesa kama ukishinda lakini kupata uzoefu zaidi wa mambo ya picha [emoji116].
![]()
There is a reception of photos for the 35AWARDS 2019! #35AWARDS
Annual international photography award 35AWARDS 2019. In 2017, 103,069 photographers took part. More than 257,700 uploaded photos.5th.35awards.com
fadinyo Mdomo bakuli lordchimkwese Lord eyes Champ_2 msukuma.com kilamuruzi Burnaboy JAY MTAALAM Masulupwete TODAYS
Ukimtumia uyo jangu vizuri hukosi amafaranga ya kumtunza na wewe kujenga gorofa hahaaaa....Pixel 3 xl portrait modeView attachment 1350836
Ukimtumia uyo jangu vizuri hukosi amafaranga ya kumtunza na wewe kujenga gorofa hahaaaa....
Samsung S7 na huwa naedit kwa sm
Amafaranga=pesa,hela,mkwanja,mpunga.
Shukrani mkuu mimi pia nimeweza kujoinLink hiyo chini ingia na baadaye uweze kutengeneza pesa kama ukishinda lakini kupata uzoefu zaidi wa mambo ya picha [emoji116].
![]()
There is a reception of photos for the 35AWARDS 2019! #35AWARDS
Annual international photography award 35AWARDS 2019. In 2017, 103,069 photographers took part. More than 257,700 uploaded photos.5th.35awards.com
fadinyo Mdomo bakuli lordchimkwese Lord eyes Champ_2 msukuma.com kilamuruzi Burnaboy JAY MTAALAM Masulupwete TODAYS
Hizi picha mbili siamini kama zimepigwa na Smart Phone, hapa umetudanganya, Mkuu..Naombaa niongezee zingine kaka (Bonus Picture)View attachment 1348512View attachment 1348513
GIRITA Amekujibu muswano kabisa, hicho ni kibantu mkuu usiogope.
Amafaranga=pesa,hela,mkwanja,mpunga.
Jangu=Nyau a.k.a pussi......
GIRITA Amekujibu muswano kabisa, hicho ni kibantu mkuu usiogope.