Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,261
Mtoa mada ukijibu hili jibu naomba unitag
Mbona unaruka....
Anyway mimi natumia infinix smart 3 plus
Je inauwezo wa kupiga pic
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ukijibu hili jibu naomba unitag
4G imekamata sawa sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni mimi huyooo
Tatizo ni wapi pa kuzihifadhi hizo picha ili kizazi kijacho au cha mbele zaidi nao wazione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada ukijibu hili jibu naomba unitag
Mbona unaruka....
Anyway mimi natumia infinix smart 3 plus
Je inauwezo wa kupiga pic
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi nzuri..
picha unauza bei gani kwa kila moja (picha za mandhari??)
Sent using Jamii Forums mobile app
Vsco
Adobe photoshop
B126
Tool wiz
Picart
Kazi kwako mkuu tuletee picha ukiedit ntashukuru ukishare
kama vile hapo ni Babati