Heee hadi madonga!!!
Safi sana..ila kumbuka kuzingatia watu wanaweza wasipende kupigwa picha au kutaka japo fedha ya chai kidogo.
Capture zako nimezikubali..
Safi sana, ikibidi anza pia kutengeneza Calendar, naona picha unavyozipiga zina mvuto zaweza kukaa maofisini katika taasisi.Thanx Mkuu huwa nawaomba kabla sijapiga picha
Safi sana, ikibidi anza pia kutengeneza Calendar, naona picha unavyozipiga zina mvuto zaweza kukaa maofisini katika taasisi.
Kuna mtumwa mmoja huko mexico baada ya utumwa kupigwa marufuku,akajipa kazi ya kuchora kila tukio aliloliona.Kwa kweli zile picha ndio document muhimu ya nchi ile na anakumbukwa na vizazi hadi vizazi.
Piga picha tu mkuuu hutajutia,hats Mimi napiga sana picha ila virus ndio hatari kuka mafaili.
Ujugu wewe ni hatari sana. Picha nzuri hongera sana mkubwa.
Unatumia simu gani kupiga hizo picha?Thanx Master
umatumia sim gani kupiga picha zako na jee baada ya kupiga huwa unafanya editing??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema Wadau bila shaka mnaendeleaa vyema na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa.Niko poa na salama pia namshukuru Mungu
Ipo hivi ndugu zangu toka mwaka jana niliamuaa kujifunza kupiga picha za simu (phonecamera) mpaka sasa naendeleaa kwa ujumala najiona nabadiliaka na nazidi kubadilika kwa kila hatua.
Kuna faida kibao nazipata kupitiaa hili darasa langu nililoamua kujifunza toka mwaka jana. Through Social media ikiwepo na JF hapa kwasabau na sahare picha zangu nyingi sana thanx
.![]()
Labda hapa niongee kitu kwa kifupi katika haya maisha yetu tunayoishi kuna mambo mengi ya kujifunza (small skills ) nyingi sana unaweza chukuliaa kitu kidogo lakin trust me kinaweza kukupa big deal mpk ukashangaa
?![]()
Tuna mambo mengi tunapenda kujifunza lakini tunajidai tupo busy sana tujifunze kufanya vitu tunavyovipenda kwasababu hivi vitu ndyo vinavyotupatiaa amani na furaha ya maisha kwasabu unafanya kitu unachokipenda![]()
![]()
![]()
.![]()
Penda unachokifanya Fanya unachokipenda kwa sababu kupitiaa kufanya jambo unalolipenda ndani kutakuwa na creativity kubwa sanaa Haleluyaaa....![]()
![]()
![]()
![]()
Ntaendeleaa Next Uzi..........
naona kuna mdau anasema ntupie picha kwanza![]()
![]()
![]()
Picha zangu Mpyaa za Mwaka 2020
View attachment 1348485View attachment 1348486View attachment 1348487View attachment 1348488View attachment 1348489View attachment 1348490View attachment 1348491View attachment 1348492View attachment 1348493View attachment 1348494View attachment 1348495View attachment 1348496
Kwema Wadau bila shaka mnaendeleaa vyema na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa.Niko poa na salama pia namshukuru Mungu
Ipo hivi ndugu zangu toka mwaka jana niliamuaa kujifunza kupiga picha za simu (phonecamera) mpaka sasa naendeleaa kwa ujumala najiona nabadiliaka na nazidi kubadilika kwa kila hatua.
Kuna faida kibao nazipata kupitiaa hili darasa langu nililoamua kujifunza toka mwaka jana. Through Social media ikiwepo na JF hapa kwasabau na sahare picha zangu nyingi sana thanx [emoji120][emoji120].
Labda hapa niongee kitu kwa kifupi katika haya maisha yetu tunayoishi kuna mambo mengi ya kujifunza (small skills ) nyingi sana unaweza chukuliaa kitu kidogo lakin trust me kinaweza kukupa big deal mpk ukashangaa [emoji15][emoji15]?
Tuna mambo mengi tunapenda kujifunza lakini tunajidai tupo busy sana tujifunze kufanya vitu tunavyovipenda kwasababu hivi vitu ndyo vinavyotupatiaa amani na furaha ya maisha kwasabu unafanya kitu unachokipenda [emoji4][emoji4][emoji4][emoji106][emoji106].
Penda unachokifanya Fanya unachokipenda kwa sababu kupitiaa kufanya jambo unalolipenda ndani kutakuwa na creativity kubwa sanaa Haleluyaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntaendeleaa Next Uzi..........
naona kuna mdau anasema ntupie picha kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Picha zangu Mpyaa za Mwaka 2020
View attachment 1348485View attachment 1348486View attachment 1348487View attachment 1348488View attachment 1348489View attachment 1348490View attachment 1348491View attachment 1348492View attachment 1348493View attachment 1348494View attachment 1348495View attachment 1348496
Wew unatabia ya wazungu.Wazungu hupiga picha hovyo hovyo na zingine hupiga hela bila kutarajia Picha ya window XP bill gate alien in a being mbaya Hili zoezi ipo siku litakulipa bila kutarajia.Kuna mitandao ya Ku upload picha watu wakidownload unalipwa.Naombaa niongezee zingene kaka (Bonus Picture)View attachment 1348512View attachment 1348513View attachment 1348514View attachment 1348516