Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,371
nmekaaga sana hapo Aldersgate ngarenaro ziwani stendi pale kuna Guest inaitwa kwa Mamba kwa hakika nmekumbuka maeneo mengi sana
nmekaaga sana hapo Aldersgate ngarenaro ziwani stendi pale kuna Guest inaitwa kwa Mamba kwa hakika nmekumbuka maeneo mengi sana
Picha ni nzuri sana,sijui kuna utaalamu gani wa kufanya ili kupata FULL HD image
tafuta huo utaalamu kama ni kifaa(simu,camera) kitafute ili upate hizo FHD
nimejaribu weka picha zako kwenye desktop yangu hapa kilichonikuta ni kituko
picha imetokea na mawingu haionekani vizuri,ila uki iangalia tu kawaida ni nzuri sana
Napenda zile FHD za 1920x1080 zinakaaaga vizuri sana kwa screen
View attachment 1349969