Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

Samsung J2
IMG_20171123_180447120.jpeg
 
Wew unatabia ya wazungu.Wazungu hupiga picha hovyo hovyo na zingine hupiga hela bila kutarajia Picha ya window XP bill gate alien in a being mbaya Hili zoezi ipo siku litakulipa bila kutarajia.Kuna mitandao ya Ku upload picha watu wakidownload unalipwa.
Picha zinaweza wekwa kwenye kava ya kitabu gazeti,blog nk hivyo kuwa makinivl hizo in pesa.
Unakamera nzuri sana, mi nafanya zoezi kama lako ila nakamera ya kishamba ninampango wa kupata nzuri niboreshe hobi.Hongera sana
Kuna mashindano pia, Kuna picha kama hiyo ya mkokoteni, aipeleke huko
 
Usihofu napenda kupiga pic mpaka naona kuna watu huwa nawaboa

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mkuu haujawa mzoef kufotolea simu.
Mimi nina mbinu 50 za kufotoa mtu bila kuleta tafrani.

Kwanza hii ya kujifanya napiga simu huku naweka app ya camera, kisha ninajifanya kukosea ama kuandika sms huku back ya simu ikiwa imekuelekea hapo lazima umekwenda!

Tena sikuwashii flash, ni parade la kimya kimya!

Njia hii imenisaidia kuwa na picha nyingi tena nzuri za watu tunaoheshimiana nao bila kuwakwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa mkuu wa mkoa Arusha anatafuta wanaopiga picha na kurusha mitandaoni kuwa ni wahujumu uchumi angalia za kurusha aisee.Ila picha nzuri sana
 
Basi mkuu haujawa mzoef kufotolea simu.
Mimi nina mbinu 50 za kufotoa mtu bila kuleta tafrani.

Kwanza hii ya kujifanya napiga simu huku naweka app ya camera, kisha ninajifanya kukosea ama kuandika sms huku back ya simu ikiwa imekuelekea hapo lazima umekwenda!

Tena sikuwashii flash, ni parade la kimya kimya!

Njia hii imenisaidia kuwa na picha nyingi tena nzuri za watu tunaoheshimiana nao bila kuwakwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa sasa mchawi ni sensor ya kibabe,vingimevyo picha itatoka kama kioo kilichovutwa vumbi na ufagio.

maana wewe uko una move,cameran nayo ina move.
 
Kwema Wadau bila shaka mnaendeleaa vyema na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa. Niko poa na salama pia namshukuru Mungu

Ipo hivi ndugu zangu toka mwaka jana niliamuaa kujifunza kupiga picha za simu (phonecamera) mpaka sasa naendeleaa kwa ujumla najiona nabadiliaka na nazidi kubadilika kwa kila hatua.

Kuna faida kibao nazipata kupitiaa hili darasa langu nililoamua kujifunza toka mwaka jana. Through Social media ikiwepo na JF hapa kwasababu nashare picha zangu nyingi sana thanx .

Labda hapa niongee kitu kwa kifupi katika haya maisha yetu tunayoishi kuna mambo mengi ya kujifunza (small skills ) nyingi sana unaweza chukuliaa kitu kidogo lakin trust me kinaweza kukupa big deal mpk ukashangaa ?

Tuna mambo mengi tunapenda kujifunza lakini tunajidai tupo busy sana tujifunze kufanya vitu tunavyovipenda kwasababu hivi vitu ndyo vinavyotupatiaa amani na furaha ya maisha kwasabu unafanya kitu unachokipenda .

Penda unachokifanya Fanya unachokipenda kwa sababu kupitiaa kufanya jambo unalolipenda ndani kutakuwa na creativity kubwa sanaa Haleluyaaa....

Ntaendeleaa Next Uzi.
naona kuna mdau anasema nitupie picha kwanza

Picha zangu Mpyaa za Mwaka 2020

View attachment 1348485View attachment 1348486View attachment 1348487View attachment 1348488View attachment 1348489View attachment 1348490View attachment 1348491View attachment 1348492View attachment 1348493View attachment 1348494View attachment 1348495View attachment 1348496
Picha zako ni nzuri! Ila bado una ''ugonjwa'' walionao watanzania wengi.... kuposti picha bila maelezo yoyote. Kwa mfano ukiwa Facebook unakuta ni wengi wanapost picha zisizo na maelezo.
 
Shukran kwa Comment hapa siwezi elezeaa kila pichaa ila katika social media nafanya hicho kitu "asante"
Picha zako ni nzuri! Ila bado una ''ugonjwa'' walionao watanzania wengi.... kuposti picha bila maelezo yoyote. Kwa mfano ukiwa Facebook unakuta ni wengi wanapost picha zisizo na maelezo.
 
Back
Top Bottom