TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,265
- 25,550
Nimeshindwa kuiweka hapa maybe nitumie njia niliyotumiwa na mdau ambaye hayupo humu...Picha Zote niza Simu mkuu Nashukuru Mkuu weka link wadau tuingiee
Nimeshindwa kuiweka hapa maybe nitumie njia niliyotumiwa na mdau ambaye hayupo humu...Picha Zote niza Simu mkuu Nashukuru Mkuu weka link wadau tuingiee
Kumbe ndie wewe uliekua unapiga hii picha, nilkuona.
Proud of you.
Uko vzr
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naomba hio link bossHizi pia kama ni za camera ya simu naomba nikupe link flani uende huko...
Kwanza utapata cheti, pili uki_win kutokana na category utakayoingia unaweza kuuza picha.
Kuna mashindano mbalimbali ya kushiriki na kuuza picha ambayo picha yako inaweza kudumu miaka, na kupitia account yako ya Google unatunza huko pia.Tatizo ni wapi pa kuzihifadhi hizo picha ili kizazi kijacho au cha mbele zaidi nao wazione.
WoooowwwNaombaa niongezee zingine kaka (Bonus Picture)View attachment 1348512View attachment 1348513View attachment 1348514View attachment 1348516