Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

Sahihi unachosema mkuu Mi situmiii Kamera kubwa mkuu ni Smart hiyo sm.yako uliyoshika now ndyo naitumia kupiga picha kuna group la picha za simu niliwekwaga nikawa nashare hizi picha wakasema kuna sehem nadownload nikaona niwe nawatumia na before and after bado wakabisha kwa kusemanatumia camera kubwa nikawa nawatumia picha kwa doc ili ionyeshe sasa details zapicha ndyo wakakubali
Wew unatabia ya wazungu.Wazungu hupiga picha hovyo hovyo na zingine hupiga hela bila kutarajia Picha ya window XP bill gate alien in a being mbaya Hili zoezi ipo siku litakulipa bila kutarajia.Kuna mitandao ya Ku upload picha watu wakidownload unalipwa.
Picha zinaweza wekwa kwenye kava ya kitabu gazeti,blog nk hivyo kuwa makinivl hizo in pesa.
Unakamera nzuri sana, mi nafanya zoezi kama lako ila nakamera ya kishamba ninampango wa kupata nzuri niboreshe hobi.Hongera sana
 
No filter
IMG_20200201_102003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom