Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,267
Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.
Huna vigezo?Mdada asiyehitaji kuolewa ila anahitaji supreme physical and cognitive genes awahi PM. 95% ya malezi ya mtoto juu yangu.
PS: Wahi sasa; nafasi ni chache mno![]()
Nikitaja vigezo watafake. Kimya Kimya tu unaona nani anafaa, nani hajakidhi vigezo.Huna vigezo?
Tupo pamoja kiongozi,Usajili wangu humu umekamilika rasmi,
Ntakuwa nakipiga namba 7, 8 au 9.
Yani winger machachari mleta crossi za hatari, kiungo mshambuliaji apo kwenye passi za assist sikosi na pia ukipenda mshambuliaji hodari, ukileta inaingizwa.
Shukrani sana kocha wetu Frumence M Kyauke
Mwanzisha uzi mwenyewe si ajabu kaoa...kwa iyo cheza chini mkuu. Kubaliana na hali yako.Mtakuja kuoa tu, ni suala la muda.
Mimi ni mtu ambaye niko wazi katika mambo yangu, kifupi mpaka sasa sijaonaMwanzisha uzi mwenyewe si ajabu kaoa...kwa iyo cheza chini mkuu. Kubaliana na hali yako.
Itabidi hawa watu wapate elimu hii huenda ikawasaidiaHii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.