weuwee yani waliotengeza hii animation wana balaa zitoMbona mnaisahau "minions"
Hii nimeiona jana, ni nzuri kwa kweliRaya and the last dragon
Bellerina one of my favorite.1.Avatar: the last airbender_series
2.Rango
3.Coco
4.Bellerina
5.Peter pan
Kuhusu avatar
Hahaa Baanana!Kuna hii inaitwa the croods
wewe ni mpenz wa animation ila hujanifikia, hebu tafuta storks kwana ucheke kifua kikuumeSalaam
Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka.
Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation.
Nyingine kali nilizozicheki ni:
Sing
Frozen 1&2
Tangled ever after
Coco
How to drive your dragon 1,2&3
Shrek
Soul
Moana
Tad and the lost explorer1&2
Kwa uchache ni hizo, najua zipo nyingi sijaziona kwa iyo mpya zitashushwa
Karibuni
yule ni eddie marphieIla Will Smith in Shrek kile ki punda kinachoongea maneno mengi alitisha sana fundi yule
wewe nimegundua ndo the best watcher. nmekumbuka mbali hiyo chicken run 😄 😄 😄 . Hebu tafuta storks sijaiona kwa list hapoYou know what Clive, playing a villain in a tv was fun. But being one in real life is even better.... Heist music.🤣(Balthazar Bratt)
Binafsi mimi ni mpenzi wa Animation sana sana hadi cartoon Napenda sana... Animation ndio genre ya muvi ambayo unaweza kuitazama mara nyingi bila kuichoka.
Kampuni zangu bora zinazotengeneza Animation ni Dreamworks Studio na Pixar Studio.Zifuatazo ni animation zangu bora nazopenda kuzirudia
- Home
- Wall E (inasikitisha)
- Big Heroes 6
- Ratatouille
- Despicable me
- Moana
- Up (inasikitisha)
- Shrek
- How to train your dragon
- Coco
- Kung fu panda
- Pussy in boots
- Maya the bee
- Boss baby
- Wreck it Ralph
- Spy in disguise
- Megamind
- Finding Dory n Nemo
- Cars
- Grinch
- Onward
- Mosnter Inc
- Soul
- Chicken Run
- The Brave
- Rango (when is he going to die?? Soon my friend soon😆)
sawa mkuu leo nitaitafutawewe ni mpenz wa animation ila hujanifikia, hebu tafuta storks kwana ucheke kifua kikuume
hujachek lion king 1 mpaka 3?sawa mkuu leo nitaitafuta
Yeah i didn't like it. May be nijaribu kuanza kuiangalia though ni ndefu sana.Oh so you didn't like The Simpsons? I really enjoyed it's absolutely amazing.
I like Spongebob too.
me too the simpsons siipendiYeah i didn't like it. May be nijaribu kuanza kuiangalia though ni ndefu sana.
home siijui. nipege basi na wewe khaNilikusanya muvi zote zinazotoka Dreamworks Studio ninazo zote.
Namalizia kukusanya Animation kutoka Pixar Studio.
Hiyo sijaijua, vipi ushaiona Home?😆