Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,261
- 18,266
Nimeirudia zaidi ya mara 10Kama hujaangalia Minions:Rise of Gru 2022, umefanya kosa kubwa sanaView attachment 2451019
Nimeirudia zaidi ya mara 10Kama hujaangalia Minions:Rise of Gru 2022, umefanya kosa kubwa sanaView attachment 2451019
Hawa jamaa wanachekesha kinoumaKama hujaangalia Minions:Rise of Gru 2022, umefanya kosa kubwa sanaView attachment 2451019
Kumbe The Amazing Maurice inakosha, niliiona NKIRI.COM nikaipuuziaMaurice mjanja sana ila baadae akawa heroView attachment 2464702
NaiombaHii movie nmerudia kama mara 8 hivi, napenda pirrahna anavyosema its buts wakat ni heart
njoo uchukueNaiomba
Wapi?njoo uchukue
kuna sarah Lynn 😂 kafa kwa matumizi ya dawa za kulevya kule ukumbini, kiufupi show ni kali kuanzia ile theme song yake kule mwisho ''back in the 90s i was in the very famous tv shooooow...."Wakuu kuna animated series kali sana. Nimeangalia nyingi ila niliipenda sana Bojack The Horseman. Ili nitouch sana hii series.
Ningependa kuangalia nyingi zaidi. Naomba tujuzane animated series kali.