Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Na mimi naomba mwenye nyimbo bora kabisa za kwaresma anisaidie. Na kuna mwingine wa majivu.
 

Attachments

  • Mt patrick - kwaresma - Ee baba mikononi mwako.mp3
    3.8 MB · Views: 172
mwenye nyimbo za marehemu ema chichi anipe link.
 
Mimi natafuta album ya kwaya ya Agizo Kuu kutoka TAG Kihesa Iringa. Ile ya miaka ya zamani sio hii iliyopigwa karibuni.

Naambiwa enzi mpiga kinanda alikuwa Mwanamke
baadhi ya nyimbo zake
1. Kazaliwa Emmanuel
2. Msalabani Yesu alilia Eloi Eloi
3. Basi simameni
4. Mapambano yanaendelea
5. Wokovu

Pia natafuta nyimbo za kwaya ya Nkinga yenye nyimbo kama "Sauli, Sauli" n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…