Uzi maalum wa sentesi ambazo ukisema kwa haraka hara unajikuta unatukana au kukksea

Hii in maalum sana kwa zile sentesi ambazo ukijichanganya tu unaangukia kwingine .

Mfano.

Jaribu kutamka kwa speed
Ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi...... ndege mwekundu kala mkungu wa ndizi.

Karibuni
Hata wewe mwenyewe kichwa cha habari cha uzi wako kimekosewa, sasa sijui na wewe ulikuwa unaandika harakaharaka?
 
70ba1298c130e4baee8d5a6e7c44e935.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
umemweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom