Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,405
Iko poa japo kama paa lingeenda juu kidogo ingevutia zaidi..
Paa lingeenda juu kidg.
Paa lingeenda juu kidg.
Hao ni wapauaji wa Dar.
Ipo,Nyumba inaweza kutumia gharama kubwa lakini isiwe nzuri kimuonekano.. hapa inategemea preference!Hivi hamna tofauti kati ya nyumba nzuri na nyumba ya gharama?
Mimi nataka nzuri kimuonekano!Ipo,Nyumba inaweza kutumia gharama kubwa lakini isiwe nzuri kimuonekano.. hapa inategemea preference!
Simple but classicView attachment 1456308View attachment 1456309View attachment 1456310
Sent using Jamii Forums mobile app
Fundi rangi kazingua
Yes!! tutupie za mwana jf wa kawaida sio za kina Beyonce na jay z
Mkuu hiyo nyumba sio ghari sana maana kujenga cost haizidi mil 40Yes!! tutupie za mwana jf wa kawaida sio za kina Beyonce na jay z
Duuh hizi rangi hazijakaa vizuriSimple but classicView attachment 1456308View attachment 1456309View attachment 1456310
Sent using Jamii Forums mobile app