MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,531
Hukunielewa mkuu iyo uliyopost wewe ndio ina reflect maisha halisi ya watanzania tulio wengi iko poaMkuu hiyo nyumba sio ghari sana maana kujenga cost haizidi mil 40
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuHukunielewa mkuu iyo uliyopost wewe ndio ina reflect maisha halisi ya watanzania tulio wengi iko poa
Kaka hivi nyumba kama hii hasa hapo kwenye kioo kwa mazingira yetu usalama vipi? Risk yake iko vip, vip gharama yake?The work of my hands.... passion for Architecture....
Hizi ni wa kishua usijenge uswahiliniKaka hivi nyumba kama hii hasa hapo kwenye kioo kwa mazingira yetu usalama vipi? Risk yake iko vip, vip gharama yake?
Nazihusudu sana nyumba za ivi sema nikifikiria mambo kama hayo. DaahView attachment 1461111
Hizi ni za kishua usijenge uswahiliniKaka hivi nyumba kama hii hasa hapo kwenye kioo kwa mazingira yetu usalama vipi? Risk yake iko vip, vip gharama yake?
Nazihusudu sana nyumba za ivi sema nikifikiria mambo kama hayo. DaahView attachment 1461111
Hata mimi nahusudu sana dirisha kama hizi. Mambo ya kuishi kama uko jela hapana.Kaka hivi nyumba kama hii hasa hapo kwenye kioo kwa mazingira yetu usalama vipi? Risk yake iko vip, vip gharama yake?
Nazihusudu sana nyumba za ivi sema nikifikiria mambo kama hayo. DaahView attachment 1461111
Hivyo vigae huwa sivipendi. Sionagi hata kama nyumba hupendeza mtu akiweka hivyo vigae vya udongo.
Hili ni hekalu!
Mkuu unazitoa wapi hizi?