Delight
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 360
- 414
Paa liko chini sana, pia chemistry ya rangi esp roof na ukuta haijashabihiana sana ila nyumba ni nzuri.
Paa liko chini sana, pia chemistry ya rangi esp roof na ukuta haijashabihiana sana ila nyumba ni nzuri.
Nyumba ya kwanza nimeipenda sana esp rangi zimecompliment vzr sana.
OMG! Kweli watu wana choices!Simple but classicView attachment 1456308View attachment 1456309View attachment 1456310
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba mchoro wa bati jekundu tafadhal
Nipe makisio ya gharama za kupandisha nyumba ya pili toka juu bila finishing yeyote, yani iwe boxi tu.The work of my hands.... passion for Architecture....
Mabayaaaa 🙃🙃🙃🙃
Weka za kwako nzuri mkuu!Mabayaaaa [emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
[emoji849][emoji849]Kufika 2925 nataka niwe na nyumba kaaali.
OMG! Ilikuwa ni typing error siunajua 9 na 0 ni majirani.[emoji849][emoji849]
Wewe hebu Leo njoo unisalimie kila siku unaruka ruka tuOMG! Ilikuwa ni typing error siunajua 9 na 0 ni majirani.
Nilimaanisha 2025.
Ni ghorofa
Ni malove tu mpaka kwenye kitochi