moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 128,725
- 702,072
πUsiku mwema wadau wa maofisini , weekend inaaga hiyo..
πMungu awaponye wagonjwa π€² π
AminMungu atupe afya na uzima π€² π
AminMungu atupe usiku wenye amani na utulivu π π€²
AaaminAmani na utulivu na upendo vitawale...