Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mkuu ni kwamba napata mawazo hasi kwa kila ninachotaka kufanya!
 
Dah Kaka SYB huwa nakukubali kinyama... Mmoja ya vigogo makini wa JF along side..Mshana Jr, Numbisa, na wengineo huwa nawakubali sana..ngoja niandae ka list kabisa nikiamka.
 
Dah Kaka SYB huwa nakukubali kinyama... Mmoja ya vigogo makini wa JF along side..Mshana Jr, Numbisa, na wengineo huwa nawakubali sana..ngoja niandae ka list kabisa nikiamka.
Asante mkuu ila mimi huwezi kunilinganisha na hao ma-great thinkers wakubwa uliowataja. Mi mwepesi sana hata robo siwafikii hao. Ndiyo maana nimetulia huku kwenye jukwaa letu la likes - jukwaa linalodharaulika sana hapa JF ila asante. Kila mmoja wetu ana umuhimu wake na tunategemeana na kukamilishana bila kujali tofauti zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…