Wakuu naomba niulize swali..hivi ni njia gani nitumie hili kuondoa (NEGATIVE THOUGHTS)
Negative thoughts kama zipi mkuu? Suicide? Sense of worthlessness? Regrets? Condemnation?

Unakijua chanzo cha hizo negative thoughts? Lazima kuna chanzo...kufiwa, kuachwa na umpendaye, kukata tamaa kimaisha, kujilinganisha na wengine hasa waliofanikiwa, matatizo ya kiafya, trauma utotoni, migogoro ya kiroho, mental/psychological issues, msongo wa mawazo?....Hebu jipeleleze kwanza kinafsi uone kama kuna chanzo cha hayo mawazo. Ukipata angalau fununu ya chanzo chake ndiyo itakuwa rahisi hata kujua jinsi ya kukabiliana nayo.

Ila kama unamwamini Mungu upande wa Wakristo mahali pazuri pa kuanzia ni kuwa karibu naye kupitia sala za kweli kweli. Ombea amani yako. Roho Mtakatifu aje akufariji na kukuongoza. Akukumbushe kuwa wewe ni wa thamani sana mpaka mwana wake Yesu Alikuja kukufia. Aondoe hayo mawazo ya giza na kuleta tumaini moyoni mwako.

Mimi nikiwa nimebanwa sana na mawazo mabaya ambayo wakati mwingine hata hujui yametoka wapi huwa natumia njia hiyo. Nalia weeeee basi napata amani ya ajabu na mambo yanakwenda sawa. Vinginevyo unaweza kuonana na wanasaikolojia na washauri nasaha. Na kama ni mawazo ambayo huwa hayaondoki basi linaweza kuwa ni tatizo la kiafya ya ubongo kama depression na mengineyo. Ukionana na madaktari watajua la kufanya na kuna madawa ambayo unaweza kutumia ili kuondokana na hali hiyo. Pole. Mungu Akupe amani yake
 
mkuu ni kwamba napata mawazo hasi kwa kila ninachotaka kufanya!
 
Dah Kaka SYB huwa nakukubali kinyama... Mmoja ya vigogo makini wa JF along side..Mshana Jr, Numbisa, na wengineo huwa nawakubali sana..ngoja niandae ka list kabisa nikiamka.
 
Asante mkuu ila mimi huwezi kunilinganisha na hao ma-great thinkers wakubwa uliowataja. Mi mwepesi sana hata robo siwafikii hao. Ndiyo maana nimetulia huku kwenye jukwaa letu la likes - jukwaa linalodharaulika sana hapa JF ila asante. Kila mmoja wetu ana umuhimu wake na tunategemeana na kukamilishana bila kujali tofauti zetu
 
Jamani
mchochezi__wa__instar_20200703_193711_1.jpg
 
915 Reactions
Reply
Back
Top Bottom