koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,790
- 10,374
Salama pia Numby,wanakusalimia sana
BroBrother brother natumai uko poa kabisa mkuu.
Aisee hivi hii tayari ipo ambayo ni clear nikaweza kui-download nii-check. Au bado wameificha bro...?
Kama una link nitashkuru ukinitupia bro. Much respect blood.
Asante mrembo..pole na wewePoleni wapendwa kwa uchovu wa kazi na majukumu ya hapa na pale