Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hia wi gooo ageini.

Screenshot_20190830-102005~2.jpeg
 
Kwa mujibu wa takwimu kutoka katika Mtandao wa Transfermarkt, City imenunua wachezaji 278 tangu mwanzo wa msimu wa 2009/10 kwa ajili ya kuwasaidia kuwa moja kati ya timu tishio barani Ulaya ikiwa ni kitendo tofauti na kauli ya kocha wake wa sasa, Pep Guardiola anayedai hawana utajiri wa kijinga.
 
Back
Top Bottom