carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,528
- 285,467
Epl huku unasubiria li sapuraizi la nguvuTena weekend ya epl full kukesha
Sijaelewa kabisaaaKishasema bhana
Kama namuona mama naye akificha pesa zake
Waambie hao khaaa wanataka kunifukuza humu nikose ubuyu. Mwaga kasuprise pale tunatest
Mara bro anaibuka na vidole vingine vya samaki full kupima vibrashen msabwax and slap itEpl huku unasubiria li sapuraizi la nguvu
umetiririka bonge la pointi ila mwishon umenichekesha sasa utaiba upeleke wapi jaman
Acha tuUmeona eeh
daah eti kwenye tunatest naona umeamua kua mbinafsi sasa
Kaelezea kwa kutumia codeSijaelewa kabisaaa
Hakika Mungu ni mwema. Habari ya wikendi ndugu yangu?Kwema mzee wangu??
Mara bro anaibuka na vidole vingine vya samaki full kupima vibrashen msabwax and slap it
Haya ngoja tuone mana daahUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Tena wewe nisikuone huku nyumbani maana sina imani nawe.
Habari ya Jumamosi?
Na asiyelike ana roho ngumu zaidi ya chuma cha puaNimeshakupa Mkuu Humu ni like tu
Mara bro anaibuka na vidole vingine vya samaki full kupima vibrashen msabwax and slap it