Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,050
- 831,649
- Thread starter
- #81
Na kwa upande mmoja wananchi tukabaki kuwa walalamikaji bila solution.... Nadhani ni kipindi sahihi kuchukua hatua na kufanya yatupasayo kufanya!!!! KUSHAURI kila mmoja kwa maono yake na katika nafasi yakeNchi hii sasa hv kila kiongozi anakuja na mambo yake..ni vyema kama Taifa tungekuwa na dira ya kutuongoza ili tujue tunaelekea wapi. Kukosekana kwa dira matokeo yake ndio kutunga sheria za hovyohovyo mwisho wa siku tunaua uchumi wa taifa tunaishia kutafuta mchawi ni nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app